Nimesema Mbagala ninakokaa. Sasa nitajikimbia mwenyewe shem? Akiwa na wese hata kama anakaa ndani ya kichuguu haijalishi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Andaeitini nawe na enzi zenu wapi na wapi? Maandaeitini wa humu mna vituko dah! Father time is there subirini tu haraka ya nini? 15 yrs itafika sasa hivi hapo ndipo mtakuwa angalau na kakredibilite kidogo ka kurejelea historia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante mkuu, daaa ulijuaje!!!? Maana si kwa mnyororo huu[emoji1] [emoji1]Poleni mlio kwenye foleni za daladala..
How many games they lost on this summer?Lebron and Cavs lost
Kisukari, RIP marafiki zangu kadhaa, Ugonjwa wa moyo, RIP marafiki na ndugu kadhaa, vidonda vya tumbo nk. TubadirikeKwa mujibu wa shirika la Afya duniani (WHO), mitindo ya maisha isiyo bora ndio chanzo kikubwa cha kuongezeka kwa magonjwa sugu yasiyo ya kuambukiza duniani ambayo yamekua yakisababisha mamilioni ya vifo vya mapema kila mwaka
Kweli kabisaMaendeleo ya kiuchumi ambayo ni pamoja na kuongezeka kwa kipato, matumuzi ya nyenzo nyingi za kisasa ikiwa ni pamoja na magari, vifaa vya kisasa vya kutendea kazi, komputa na television vimechangia sana kuwafanya watu kuwa na ulaji usiofaa na kutofanya mazoezi ya mwili.
HakunaNaombeni kuuliza mbadala wa sanduku la postal(SLP) kwa sasa(kizazi cha kidigitali) ni nini? Nataka nifungue SLP lakin nafatilia zaid huenda kukawa na njia nyingine bora zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app