Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Okey tunafanya biashara ili tuweze kupata fedha lakini fedha ni nini?
Fedha ni malipo anayopewa mtu kwa huduma fulani aliyotoa hivyo kutaka kupata fedha pasipo kutoa huduma ni dhambi(it’s the violation of the law).
 
Sasa hebu twende mbali kidogo huduma ni nini au chimbuko la huduma ni nini? Chimbuko la huduma ni idea (wazo) fulani.
Hivyo kama nikiendelea kudadavua zaidi ni kwamba fedha ambayo wewe unaiweka mfukoni yaani noti ya shilingi (10000,5000,2000,1000,5000 na sarafu ya 500,2000,1000,50)siyo fedha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…