Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hebu mwacheni Consuela wetu jamani. Binti yangu mpole hana maneno na mtu; na shikamoo huwa napataga. Katukumbuka wanauzi wenzake kaamua kutuaprishieti sasa nyie mmeanza maneno. Uswahili tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Waambie kabisa Bro waniache [emoji28] [emoji28]
 
Hebu mwacheni Consuela wetu jamani. Binti yangu mpole hana maneno na mtu; na shikamoo huwa napataga. Katukumbuka wanauzi wenzake kaamua kutuaprishieti sasa nyie mmeanza maneno. Uswahili tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Sawa bro ngoja tumwache awe na amani
Kuwa kwenye list tuu ni bahati si sawa na kuachwa kabsa
[emoji1]
 
Dah!hivi ni faida gani mtu anapata kufanya yote haya??
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lakini.kumbuka huku hiyo ishu bado haitiliwi umuhim wako wengi na wataal ni wachache na jamii haijui

Wewe upo sahihi kabisa bro ila usi dismiss ishu ya mental illness
Mental illness hasa hizi mild ni ngumu sana kudiagnose. Mpaka ukate mzizi wa fitina mwenyewe na kuanza kuokota makopo. Hata Marekani huko bado ni mtihani ndiyo maana watu wenye mental illnesses wanajipenyeza na kununua AK 47 bila wasiwasi. Ronald Reagan alianza kutafunwa na Alzheimer akiwa madarakani bado na japo walianza kuona wasiwasi katika baadhi ya maamuzi yake, ilikuwa vigumu kuthibitisha ni kweli alikuwa na mental issues. Trump mwenyewe wanasema akifanyiwa comprehensive brain exam pengine ana matatizo. Ndo maana mnapelekeshwa wee kumbe anayewapelekesha ana mental issues kama akina Hitler, Mussolini, Alexander the Great...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…