Manchester United wana nia kulipa pauni milioni 79 kumsaini wing'a Douglas Costa kutoka Bayern Munich. Mchezaji huyo raia wa Brazil mwennye miaka 27 yuko kwa mkopo huko Juventus na mabingwa hao wa Italia wana uamuzi wa kumsaini kabisa. (Sun)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu hadi tumfunge kamba, au tumpeleke mahakamani km wale wazazi waliompeleka mtt wao mahakamani,ndo aoeUchoyo huo watu tumejiandaa kula pilau boss oa bana
Manchester United wana nia kulipa pauni milioni 79 kumsaini wing'a Douglas Costa kutoka Bayern Munich. Mchezaji huyo raia wa Brazil mwennye miaka 27 yuko kwa mkopo huko Juventus na mabingwa hao wa Italia wana uamuzi wa kumsaini kabisa. (Sun)
Kwingineko United hawama uhakika ikiwa watamwinda kiungo wa kati wa Lazio Sergej Milinkovic-Savic, baada ya klabu hiyo ya Italia kutangaza bei ya mchezaji huo kuwa pauni milioni 87.5 kwa raia huyo Serbia. (Mail)
Hahahha kabisaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu hadi tumfunge kamba, au tumpeleke mahakamani km wale wazazi waliompeleka mtt wao mahakamani,ndo aoe
Kwingineko United hawama uhakika ikiwa watamwinda kiungo wa kati wa Lazio Sergej Milinkovic-Savic, baada ya klabu hiyo ya Italia kutangaza bei ya mchezaji huo kuwa pauni milioni 87.5 kwa raia huyo Serbia. (Mail)
Ila sasa bro kuna kuleteana magonjwa kama UKIMWI na mengineyo. Hapo inakuwaje sasa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bro,,Unachotakiwa ni kuamini kuwa mke hacheat hata km anacheat amini tu kuwa hacheat,,,, mbaya kumkamata live, bt km unasikia tu,, usitilie manani,, utashindwa fanya vtu vyako vya msingi bro [emoji23][emoji23]
Manchester City wanaandaa pauni milioni 52 kumnunua kuingo wa kati wa Napoli Jorginho. Mchezaji huyo wa kimataifa raia wa Italia mwenye umri wa miaka 26 kwa muda mrefu amekuwa kwenye orodha ya Pep Guardiola wakati anatamfuta kiungo mpya wa kati. (Calciomercato via Talksport)

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unanifanyia makusudi kupotea weweee!
That's TrueA wise man once said
People who shut their eyes to reality simply invite their own destruction.
Andaa mengine mawili kwa ajili ya daku[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Naandaa Mandaz Mawili Kwaajili Ya Fu2ru
Kama na mimi nacheat sawa. Lakini mimi nimejitolea kabisa kabisa yeye ndiye yeye namwabudu na kumtendea kila kitu kwa upekee na heshima na mapenzi ya ajabu halafu awe anagawa nje dah...Sijui kwa kweli...Bora ujue
Ukiwachekea hao watakueletea magonjwa
Hawakumhurumia na wasinge mhurumiaKwani Le Mutuz watu hawakumhurumia mkuu?
By the way, we are different and we can't have the same outlook on everything...