Tunaanza na Mungu na tutamaliza na MunguSafi braza
Bro hatujaonana kitambo sanaHabari tanzania?, habari Jf?, habari wadau wa uzi pendwa. Wenye funga hongereni na pole kwa swaumu Allah is great awajaalie hekima na stahimulivu. Awaepushe na kila ovu la sheitwani.
Hubby [emoji7][emoji7]
Asanteh kwa kushare mkuu*JINSI YA KUJUA KAMA SIMU/LINE YAKO INATUMIKA/INAONWA NA MTU MWINGINE*
piga namba *#61# angalia kama imeandikwa neno FORWARDED uje kuna mtu anasikiliza mazungumzo/sms zako. Na kama ikionyesha neno NOT FORWARDED basi uko salama.
Kuondoa au kumzuia mtu asiendelee kutumia namba yako piga ##21# ili kuondoa *monitoring device* kwenye namba yako.
Watumie na wengine kuwajulisha matukio haya.
Kweli bro. Nina ubize flani hivi all day long. Napata muda usiku tu.Bro hatujaonana kitambo sana
Anhaa! Sawa ni vzuri kuwa busyKweli bro. Nina ubize flani hivi all day long. Napata muda usiku tu.
Kwema lakini?
Hahaha! Nilijua tu na nilifanya makusudi tu. DAVET namjua vyema aisee.Mkuu sio mimi huyo aisee! Achana nae
Boring stuff