Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,009
- 22,509
NoHeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ya tatu hii
Hata hivyo kwenye tarehe za uzi kutimiza mwaka mmoja ni kama umezaliwa upyaBraza haya ni kama maisha
Uzi hui ulizaliwa unakua kuna siku utakufa pia
Members wanapo ona hawako interested they move on na wapya wanakuja ni ishu ya kawaida kwa jf
Njema mkuu, habari yakoHabari ya hapa ndani wapendwa wa Mungu
Mkuu ujue HATUPOI[emoji3] [emoji3]Habari ya hapa ndani wapendwa wa Mungu
Mkuu mimi sio davet, nina id moja tu na ndio hii.[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Since 2009!!!
Khaa!
Shukrani sana mkuu. Nimefurahi piaGuud basi kaka karibu sana
Nimefurahi kukuona ndugu yangu
Kwema mkuu vipi za kitambo?Hahaha! Nilijua tu na nilifanya makusudi tu. DAVET namjua vyema aisee.
Kwema lakini?
AMINHabari tanzania?, habari Jf?, habari wadau wa uzi pendwa. Wenye funga hongereni na pole kwa swaumu Allah is great awajaalie hekima na stahimulivu. Awaepushe na kila ovu la sheitwani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aya naendaKijana kalale tafadhali
InshaallahTutende yaliyomema. Mungu anafurahishwa sana kama waja wake tunatenda yaliyomema. ALLAH IS GREAT
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aya naenda
[emoji23][emoji23] mkuu vipi mbona hivyo?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]