I kno em tooI KNOW PEOPLE WHO LOVE EACH OTHERS BUT ARE NOT TOGETHER
Braza nakuandikia kwa herufi kubwaCarba hutaki wimbo mzuri nime kudediketi?
Mweeh!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe mwenzie nilishakaa hadi kwenye baraza la usuluhishi wa hii ndoa
You like him?[emoji35]He's mwaaaa[emoji7][emoji7][emoji7],umeona hako ka smile??
Ujue kuna vitu vingine hatutakiwi hata kubishana kabisa...Unaona ni mke wa mtu muache, usimfanye dada/mama wa watu akadhalilika bure..Mbunye mbona nyingi tu iweje utafute ya mke wa mtu????
Simtetei mama kuwa hana makosa, makosa anayo, lakini kwanini ampige picha mwenzie???
Halafu nyie wanaume sijui mkoje tu, nyie mnavitembeza hivyo vikojoleo vyenu nje ya mahusiano/ndoa kila siku lakini mpenzi wa kike/mke akikosea akatoka hata mara moja inakuwa shida...Mwafikiri sie mioyo yetu imeundwa kwa vyuma????
Carba is specialHivyo vitu special ni kwa watu special
Carba hutaki wimbo mzuri nime kudediketi?
Mweeh!
Naomba unitake radhi pyaar kikojoleo changu wala sikitembezi na kina muda mrefu sana hakija tumika kwa matumizi hayo pleaseUjue kuna vitu vingine hatutakiwi hata kubishana kabisa...Unaona ni mke wa mtu muache, usimfanye dada/mama wa watu akadhalilika bure..Mbunye mbona nyingi tu iweje utafute ya mke wa mtu????
Simtetei mama kuwa hana makosa, makosa anayo, lakini kwanini ampige picha mwenzie???
Halafu nyie wanaume sijui mkoje tu, nyie mnavitembeza hivyo vikojoleo vyenu nje ya mahusiano/ndoa kila siku lakini mpenzi wa kike/mke akikosea akatoka hata mara moja inakuwa shida...Mwafikiri sie mioyo yetu imeundwa kwa vyuma????
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi nimeingiaje kwa hii stori yenu ya salamu tena?[emoji23][emoji23][emoji23]
Basi ntakuletea zawadi to make it up
[emoji23]
Mimi na yule[emoji441][emoji445]Kuhusu wewe na yeye
Kwendaaaaa[emoji36][emoji36]Samahani lakini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekuona [emoji23]Mimi nishaaga kule na mamie nimemuaga[emoji23][emoji23][emoji23]
Uspecial huo kautoa wapi braza kuwa siriasiCarba is special
Haya do it
Aaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], huwa kuna mjinga na mpumbavu..Mama kawa mjinga, mwanaume kawa mpumbavu...