myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Afadhali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Meme zina niishiaView attachment 787716
Jogoo kakatwa kichwa watu wamekunywa supu[emoji23][emoji23][emoji23]Liverpool ooh sorry real madrid ndo wameshinda 3 kwa 1
Hahaha, nimeiona.Muangalien jamaa anaitwa Falz kaimba tbis is Nigeria
[emoji23] [emoji23] [emoji23] its funny
Sanaaaa,ukute wanacheza mziki sasa zile moves zao me hoii[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Zinachekesha pia
Daah asanteh sana mkuu ngoja niichek nakuja na mrejesho.The violence in the Background was blurred my a myriad of dance moves by Gambino. Its a display of what's happening in America. People pay seem not to pay attention on important stuff wao wanakazana na vitu visivyo na maana. Ndiyo maana akaanza na kumpiga risasi baba yake na yule mtoto Martini halafu akaanza kucheza na nyuma watu wakawa wanafukuzwa. Akaenda kanisani akapiga watu Kalashnikov halafu akaachwa tu. Ujumbe ni kile kilichokuwa kinaendelea nyuma ya Gambino hizi nyingine ni Veneer tu. Iangalie saa hizi halafu usimwangalie Gambino, angalia yale ya nyuma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huna kumbukumbu unaachaje kukataa kwamfano?Kesho yake ukihadithiwa unakataa tena unaweza anzisha hata Ugomv [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nawaza nije ipi ingine?View attachment 787720
Its gud kama unafuatilia habari za nigeriaNilipata Alert ya huo wimbo lakini sijauangalia. Hebu ngoja niucheki sasa hivi
Hahaha! Nimeicheki maudhui ni kama ya Gambino tu. Kuiponda serikali inavyofanya mambo ambayo hayaelewi serikali ilivyo careless.Nilipata Alert ya huo wimbo lakini sijauangalia. Hebu ngoja niucheki sasa hivi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwahiyo wewe ni mzee wa ma light skin eeh??[emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna utanionea huruma tuu[emoji23] [emoji23]mimi sitahitaji kujua kama najua mpira ama la ishu nikishajua mmefungwa akiii hutakaa karibu yangu nitakucheka hadi ukimbie na uendelee kununa[emoji23][emoji23][emoji23]
Huwezi niletea stress za mpira nyumbani mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Afadhali[emoji23][emoji23][emoji23]
Jogoo kakatwa kichwa watu wamekunywa supu[emoji23][emoji23][emoji23]
This is livafool
Atayetoa This is Tanzania asisahau kuweka na ile Video ya Mapapai...Its gud kama unafuatilia habari za nigeria