Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Borussia Dortmund imekuwa na mazungumzo na Chelsea kuhusu ombi la kumsajili Michy Batshuayi. mshambuliaji huyo alitumia nusu ya pili ya msimu kwa mkopo katika klabu hiyo ya Ujerumani.(Mail on Sunday)
 
Cristiano Ronaldo amesema punde atatangaza mustakabali wake baada ya kuisaidia Real Madrid kushinda kombe mara ya tatu kwenye michuano ya Ligi ya mabingwa.
Real iliitandika Liverpool 3-1 mjini Kiev siku ya Jumamosi, kutokana na matunda ya GarethBale na shambulio la Karim Benzema
Ingawa Ronaldo hakupachika goli, alimaliza akiwa mfungaji bora msimu huu akiwa na magoli 15.
''siku chache zijazo nitatoa majibu kwa mashabiki'' Ronaldo aliliambia shirika la Bein Sports
''Ilikuwa safi sana kuwa Real Madrid.''Mustakabali wa mchezaji yeyote wa Madrid sio muhimu:muhimu ni kuwa tumeweka historia''.
 
Alipoulizwa kufafanua kwa nini alitumia sentensi ya wakati uliopita kuhusu kuichezea Madrid,Ronaldo aliongeza, ''Sina shaka, sio muhimu.
''Nahitaji kupumzika, kukutana na timu ya Ureno (Kabla ya Kombe la Dunia) na katika kipindi cha wiki chache ''nitawatangazia ''.
Ronaldo 33 amekuwa na Real Madrid tangu mwaka 2009 na ana mkataba na klabu hiyo mpaka mwaka 2021.
Ni mchezaji wa kwanza kushinda mataji matano ya ligi ya mabingwa tangu kubadilishwa mfumo na kuwa Euefa mwaka 1992.
Lakini alipoulizwa kama hakufurahishwa na kutokufunga goli kwenye fainali, alisema ''Nani hakufurahishwa''? Labda wanapaswa kubadilisha jina la michuano na kuwa michuano ya mabingwa ya CR7, akaulizaa, nani ana mataji mengi? na nani mwenye magoli mengi?''
 
MFAHAMU MWANADAMU
Mwanadamu ni kiumbe pekee aliyeumbwa na ufahamu mkubwa sana kuliko wanyama wote, kiumbe huyu hujipa sifa ya kuwa ndiye mwenye mamlaka ya kuitawala dunia yote na vilivyomo ndani, yaani wanyama, mimea na maji (mito, maziwa na bahari) sifa hujipa kwa imani kwamba yeye ndiye mteuliwa pekee aliyepewa mamlaka na mmiliki wa ulimwengu yaani Mungu, kwamba akaitawale dunia na mambo yake yaliyomo ndani.
 
Viumbe hawa wapo wa aina mbili yaani wa jinsia ya kike na kiume, japokuwa hutofautiana katika rangi kutokana na sehemu waishizo, lakini hicho si kigezo cha kushindwa kuwatambua kwa jinsia zao, ukitaka kuwatambua kwa urahisi sehemu ya kwanza ya kuwatizama ni kifuani, ambapo wenye jinsia ya kike eneo hilo la kifua huwa limesogea mbele zaidi, na hiyo ni kwa sababu wanadamu wanawake hunyonyesha, lakini kwa wanadamu wenye jinsia ya kiume eneo hilo huwa kawaida na kama atakuwa mnene kuna uwezekano mkubwa sehemu hiyo ikawa ndani zaidi ya tumbo.
 
Mwanadamu ni kiumbe ambaye hula majani yaani mboga mboga pamoja na nyama, sifa yake kubwa ni kwamba viumbe hawa hawawezi kula kiumbe ambaye hula nyama tuu, mfano fisi, simba, chui, mbwa mwitu nk.
Japokuwa zipo baadhi ya jamii huwatumia wanyama wa aina hiyo, jambo hilo hutokea kwa sababu ya hasira, pengine ni kwa sababu wanyama hao walifanya uharibufu katika jamii yao au sababu zingine za kimila.
 
Binadamu wamegawanyika katika makundi makuu matatu, nayo ni kama ifuatavyo
1. Binadamu wa daraja la kwanza ambao ni wazungu, hawa huaminiwa kwamba ni wastaarabu, wana akili sana na ni daraja la watu ambao maisha yao ni ya kupigiwa mfano katika jambo lolote lile.
 
Sifa kubwa ya wanadamu hawa ni kuamini katika tafiti, na huwekeza gharama kubwa katika tafiti na jambo hili si jukumu la serikali yao pekee bali hata watu binafsi ambao huwa na uwezo hufanya hivyo, binadamu hawa huamini katika maendeleo sana, na ndio wagunduzi wa mambo makubwa makubwa ya teknolojia mfano mawasiliano, usafiri, nishati, uchumi na kilimo pamoja na kukuza utamaduni wao, na yote hii ni kwa sababu ya matokeo makubwa ya uwekezaji wao katika tafiti.
 
Katika karne hii wanadamu hawa wameanza kufanya majaribio kadhaa ya kutaka kuhama katika dunia hii, na hiyo ni kutokana na kuona kuna uwezekano mkubwa wa hapo mbeleni kutoboka kwa ozone layer, hivyo tayari wameshaanza kufanya jitihada za kujihami katika sayari hii ya dunia, hata hivyo kwakuwa wana ustarabu uliotukuka wanajitahidi kadri ya uwezo wao kuwahamasisha watu ambao hawana habari na hayo kujitahidi kupanda miti mingi ili kukabiliana na joto linaloongezeka siku hadi siku.
 
Ukiondoa hao pia kuna wanadamu wa daraja la pili, wanadamu hawa hufanana kidogo na binadamu wa daraja la kwanza, wao hujitahidi kadri ya uwezo wao kuwafikia watu wa daraja la kwanza, kimatendo na kiutamaduni, tofauti yao kubwa huibuka katika mambo ya imani, watu wa daraja la pili ambao hupatikana bara la Asia, tofauti yao na binadamu wa ulaya pamoja na America ni kwamba hawa wote wamefikia hatua moja japokuwa ukweli ni kwamba wa kwanza ni wa kwanza ila hawa wa pili nao jitihada zao si haba, na si za kukatisha tamaa, wanahangaika usiku na mchana ili tuu nao wafike huko ambako waliotangulia wapo.
 
Ukiondoa binadamu hao wa daraja la kwanza na la pili, tunao pia binadamu wa daraja la tatu, binadamu hawa hupatikana Africa, ili unielewe vyema katika kundi hili la binadamu naomba nikupe mfano wa familia, ni binadamu ambao huamini wao ni matajiri kwa Mali za urithi, Mali ambazo hawawezi kuzilinda zisiharibike, zisipukutike na zisiishe, Mali ambazo kwa jitihada zao hawawezi kuzibadili kubwa bidhaa, wao hujivunia tuu kwakuwa ni wamepewa wao
 
Katika jamii hii ya wanadamu waheshimiwa ni wale ambao wana vyeo vikubwa katika taasisi mbalimbali za umma, vitu kama tafiti, vipawa, ubunifu, ujasiriamali, tamaduni, sanaa ni kujitafutia umasikini na kutoheshimika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…