Aakipata usingizi anaamka kesho saa 2[emoji3] [emoji3] [emoji3] hakuna cha taraweh wala swallat subuh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo ukipata usingizi lazima uote unakimbizwa
Hata hiyo 1994 soka ni hili hili, hakuna mabadiliko, maana waliocheza hapo ni akina Cafu, Paul Maldin, Winston Bogarde, Stephen Kesh, Uche Ukechukwu na wengine kama hao. Sijaona mabadiliko makubwa wakati ule na sasa. Halafu huyu Taribo West hakucheza WC 1994. Alicheza Olympic 1996 na akina Babayaro, Babangida, Kanu nknaam "" nikweli " hilo pia limechangiwa na mfumo wa mpira wa sasa kubadilika pia....."" mabeki wamepunguziwa kazi na viungo "" wa kati ""
Mmmmhhh
UmesomekaAfya... Kujamba ni LAZIMA NA MUHIMU.
Na Dokta Paulo Matemu.
1. hicho ni kitendo binadamu kutoa hewa chafu inayotokana na bacteria rafiki waishio kwenye utumbo.
2. Ile hewa harufu yake inategemeana na mlo. Vyakula vyenye protein sana husababisha harufu kali. Au mtu akila na kuzidisha hivyo kuvimbiwa. Huweza kusababisha hewa hiyo ikapitia mdomoni pia.
3. Ile hewa huwa ina Ammonia, Sulphide, carbon dioxide na methane
4. Wapo watu wanaweza kujizuia wasijambe. Nb. Ni mbaya kiafya. Tafuta sehemu hakuna mtu jamba. Ondoa hewa chafu mwili. Hivi kwa nini wahenga walifanya kitendo cha kujamba kionekane ni cha aibu?
5. MADHARA ya KUJIZUIA KUJAMBA ni
5. a. Utumbo unatanuka na kutuna... unatengeza vibox ambavyo ndani yake kunaingia uchafu ( mabaki ya chakula yaani choo) na bacteria hewa ikija kutoka penyewe panajibana na kusababisha ugonjwa uitwa diverticulatis....
5. b. Unaweza kuvimbiwa
5. c. Utumbo unaweza kujaa gesi na ghafla ukajizungusha kusababisha volvulus hatimaye utumbo kuziba. Matibabu ni operesheni. Hii inawatesa sana wanaume.
5. d. Huweza kusababisha kiungulia
6. Usipojamba kwa siku 3 mfululizo ujue kuna tatizo la kiafya ktk mfumo wa chakula. Unaweza usijue umejamba lakini ukiwa usingizini au bila kujua hewa inatoka
[emoji86]
Pokea likes za kutoshaAfya... Kujamba ni LAZIMA NA MUHIMU.

Hahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Safi bro
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]We umevuta jamaa wanapeleka moto si mchezo
Lakini bro huyu Song ni wa Jana tu, Afadhali huyu beki Alex, istoshe huyu Song hawezi ufikia mziki wa Emanuel Kunde, Paul Mfede, na wengine walioiongoza Cameroon kufikia robo fainali 1990 ItaliaSana aisee, Mabeki kama hawa kwa nyakati hizi tuongeona burudani kweli kweli
Jeshi kweli hilo,wanakuua kisha wanakutafuna. Siyo hili jeshi la binadamu, lenyewe linajua kuua tu mzoga anaachiwa Tai[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kama kuna kitu hutamani kuona ni Hawa wanajeshi wakiwa wanawinda. Wao moja Kwa moja wanaanzaga na utumbo. Kwa hiyo mnyama hufa Kwa kukosa minofu
Kwa naigeria umemsahau Rashid Yekin, jamaa alikuwa akifunga wkt wa kushangilia anaenda kuzibusu nyavu,,,Hata hiyo 1994 soka ni hili hili, hakuna mabadiliko, maana waliocheza hapo ni akina Cafu, Paul Maldin, Winston Bogarde, Stephen Kesh, Uche Ukechukwu na wengine kama hao. Sijaona mabadiliko makubwa wakati ule na sasa. Halafu huyu Taribo West hakucheza WC 1994. Alicheza Olympic 1996 na akina Babayaro, Babangida, Kanu nk
Tupo, mambo vipi. Tunavuta masaa tuendelee na ibada ya kula[emoji3] [emoji3] [emoji3]mpooo
Sijamsahau, wala sitamsahau Rashidi Yekini. Huyu alikuwa shujaa wa Nigeria 1994, maana ndiye aliyefungia Nigeria magoli mengi kwenye kufuzu kwa kombe la Dunia 1994, kisha akaiongoza Nigeria kuchukua ubingwa wa Afrika kule Tunisia miezi michache kabla hawajaenda WC Marekani akiwa na wenzake Victor Ikpeba, Finidi George, Daniel Amokachi na Emanuel Amunike bila kumsahau kiungo mshambuliji Austin Jey Jey Okocha, chini ya kocha muholanzi Clements WasterhoffKwa naigeria umemsahau Rashid Yekin, jamaa alikuwa akifunga wkt wa kushangilia anaenda kuzibusu nyavu,,,
Nigeria ile ya olimpiki ilijaa vipaji vya aina yake,, alikuepo emmanuel emunike, sunday oliseh, kanu bado kindaa kbsa,victor ikipeba, garbal lawar, Danieli amokach,,, Angerntina analala 3-2 fainali
View attachment 787931
Mkuu kikosi cha Nigeria cha 1994, na pengine cha mwaka 1996 na kikosi cha timu ya taifa ya Cameroon mwaka 1990, vilikuwa na nyota wengi, lakini sana sana vilikuwa na uzalendo na nidhamu ya hali ya juu sana tofauti na ilivyo sasaKwa naigeria umemsahau Rashid Yekin, jamaa alikuwa akifunga wkt wa kushangilia anaenda kuzibusu nyavu,,,