Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

CHAZA NI KIUMBE anayefanyiza gundi inayonata sana ambayo haiwezi kupenywa na maji, chaza huyu huweza kufanya (recycle) ya uchafu, na hata kuwafundisha wanasayansi kuhusu urekebishaji wa chembe za urithi, jina jengine la chaza huyu mdogo hujulikana pia kama KOME.
 
Ndani ya koa zao mbili zilizounganishwa pamoja mna nyama nyororo. Nyama hiyo imefunikwa na kiungo kilicho kama ngozi. Kiungo hicho huitwa Kiziba_ukono, Kama ilivyo katika viumbe wote wa MOLUSKA, Kizibaukono huchanganya kemikali ya Kalisi na gesi ya kaboni dayoksaidi ili kutengeneza Koa inayoweka ulinzi juu yao.
 
Back
Top Bottom