Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Cole Williams [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Wewe salam yako atakupa PolepoleKwendraaaaaaaaaaaaaa
Nimefanya nini tena? Jizazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Shimba bwana
Huko CHACHAWA nahisi kunanifaa.Hongera bro. Rudi kwenye CHACHAWA sasa. Vipimo kama hivyo huku wala havitusumbui kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
Hamna picha google tu utaionaMara nyingi, jamii moja ya kome inayopatikana kwenye maji yasiyo na chumvi huonwa kuwa kiumbe mharibifu. Kome huyo mwenye milia huitwa kome aina ya zebra.(pichani juu)
Kome huyo mdogo sana hupatikana hasa mashariki mwa Ulaya. Yamkini aliingizwa Amerika Kaskazini kiaksidenti katikati ya miaka ya 1980 wakati meli moja iliyokuwa ikivuka bahari ya Atlantiki ilipomwaga maji yanayofanya meli iwe thabiti. Tofauti na kome wengine, idadi ya kome aina ya zebra imeongezeka sana katika yale Maziwa Makubwa na milango-bahari iliyo kando yake na kusababisha hasara ya mamilioni ya dola kwa kuziba mabomba ya maji na kufanyiza magamba kwenye mashua, magati, na madaraja. Pia, kome huyo amepunguza idadi ya jamii nyingine kadhaa za kome zinazopatikana hasa katika eneo hilo.
Basi tuNimefanya nini tena? Jizazi
Tatizo la chama hicho ni moja. Kuwaogopa wanawake. PeriodUnajua sisi tuliokuwaga wagumu hatuna mteru kabisa
Yaani chap
Utakula jeuri yako[emoji23][emoji23]Wewe salam yako atakupa Polepole
Ngoja nikaangalie kwanza.Usiku umeingia