Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ili kujua kama ni kichwa cha kweli kweli au ni dehydration (dalili yake ya kwanza kwanza ni maumivu ya kichwa), mara nyingine jaribu kunywa maji nusu lita au lita nzima kabisa halafu usubiri nusu saa hivi. Kama ni dehydration kitaondoka mara moja. Kukimbilia kunywa dawa siyo wazo zuri kwa sababu kama ni dehydration unakuwa hujatatua tatizo japo kichwa kitatulia. Na kama dawa zina acetaminophen nyingi unaweza hata kudhuru ini lako bila kutegemea.
Ushauri mzuri
 
Muwe na usiku mwema wapendwa
Screenshot_20180528-154850.jpg
 
Back
Top Bottom