lakini kukaa kwa ploti zingine ni tricky sana...juu mm hukaa plot za mabati alafu vile nmeeka kitanda ,nmetengeneza shimo so me huwatch tv ya jirani sa yeye hueka movie ikifika saa nne..so leo kumekuja mgeni akaeka yenye tuliona jana mm nmejipata nmeshout "ah [emoji51][emoji51][emoji51] hiyo tuliona jana" nililiskia amesema nunua yako pumbavu hii then nikaona giza sijui ameeka nini kwa kashimo
I will never understand women, my girlfriend was to come to my place at 4pm but she came earlier at 1pm and found me having sex with my side chic and left. I don't know if I will be able to forgive her for lying to me like that
kuna mtu amejaribu kuniibia simu usiku nimelala simu ikakataa kupita kwenye tundu la waya [emoji23][emoji23][emoji23] ata yeye amecheka[emoji23][emoji23][emoji23]
The only reason i wanted to be an adult was to have sex. These things of paying bills and waking up to go to work everyday was not part of the plan.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.