lakini kukaa kwa ploti zingine ni tricky sana...juu mm hukaa plot za mabati alafu vile nmeeka kitanda ,nmetengeneza shimo so me huwatch tv ya jirani sa yeye hueka movie ikifika saa nne..so leo kumekuja mgeni akaeka yenye tuliona jana mm nmejipata nmeshout "ah [emoji51][emoji51][emoji51] hiyo tuliona jana" nililiskia amesema nunua yako pumbavu hii then nikaona giza sijui ameeka nini kwa kashimo