Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

During this period, the WWF promoted wrestlers of a younger age comprising “The New Generation”, featuring Shawn Michaels, Diesel, Razor Ramon, Bret Hart, and The Undertaker, in an effort to promote new talent into the spotlight.
Bret Hart the Heat Man.....
Daah long timeeeeeee
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Aisee niliangalia ile mechi ya Stone Cold...
Lilivunjika lakini lilishinda. .Give me A Hell Yeah cause Stone Cold Said Soooo.
 
The Undertaker alikuwa mzee sana kushindwa ilikuwa ni lazima. Brock alishawahi kutwangana na Undertker mwaka 2004 kama sikosei kwenye Ladder Match ya WWE Championship. Brock alipigwa sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…