Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,802
Asee, unachuma ulaya kisha unarudi kwenu. Sawa, nyumbani ni nyumbani hata kama kichakaniVyombo vya habari vya Israeli vinasema kuwa tayari amepewa kitambulisho cha uraia nchini Israeli chini ya sheria ya kurudi nyumbani, ambayo inawawezesha wayahudi popote pale walipo duniani kurudi na kuwa raia wa Israel.
Gazeti la The Times nchini Israeli limeandika kuwa Bw Abramovich aliwasili Israeli Jumatatu na kwamba amehamia nchini humo.
Muisrael anapewa tena uraia nyumbani kwake.Aseeee
Swafi, jambo mkuuwapenz wa likes nawasalimuu
Aaaah wapi, HATUPOI[emoji3] [emoji3]TUMEPOA
NOMA SANAAaaah wapi, HATUPOI[emoji3] [emoji3]
[emoji91]
Asalaam alyequm dadaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha tu
Alhamdulillah me mzima sana
noma sanaNyi semeni vyuma vimekaza, angalia nchi za wenzenu wanavyopigika[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] View attachment 789519
House Music + Afro-Pop[emoji91]
Hii ni aina gani ya music?