Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Malalamiko kuwa ‘watoto wa siku hizi’ wana tabia zisizokubalika yamekuwa mengi.

Walimu na jamii kwa jumla wanawanyooshea kidole wazazi, kwa madai kuwa wamesahau wajibu wao wa kimalezi.

Wazazi nao wanarudisha lawama kwa walimu kwa kushindwa kutekeleza wajibu wao wa kuwaelimisha watoto.

Hoja ya wazazi wengi ni kwamba katika umri fulani mtoto hutumia muda mrefu zaidi shuleni kuliko nyumbani.
 
Kwa upande mwingine, kuna ukweli dhahiri kuwa nidhamu na tabia ya mtoto, hutegemea ushirikiano wa karibu kati ya wazazi na walimu.

Wajibu wa mzazi hauwezi kukamilika bila ushiriki wa mwalimu na jamii kwa jumla.

Katika kujaribu kujenga nidhamu ya watoto, utafiti unaonyesha, wazazi na walimu huweka mbele matarajio waliyonayo kwa watoto kuliko mahitaji ya watoto wenyewe.
 
Kwa lugha nyingine, tunajenga nidhamu kwa kuangalia yale tunayoyatarajia kwao na sio kubaini kilichojificha nyuma ya tusiyoyatarajia kwa watoto.

Katika makala haya, napendekeza mahitaji matatu muhimu unayohitaji kuyashughulikia ili kujenga tabia njema kwa mwanao.
 
Sio Tabora tu mkuu, karbu mikoa mingi sasa ukipita unakuta wameanika mpunga kwenye lami,,,wamepata sana aisee

Sasa Davet ananidanganya niwepo mjini,, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],mjini pana wenyewe
Lakini mjini pia ubwabwa upo tele, utafikiri tunalima....tunafanya kujichagulia tu kulingana na bei tuliyonayo.[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Yaani badala ya kushangaa nikabaki nacheka mwenyewe..Magari yanapita juu ya mpunga....Juzi nimepita Kahama mpunga tele.. aisee mwaka huu tutanunua 1kg@ 300
Sana aisee, hata sasa hv kuna baadhi ya sehemu wanauza mchele sh. 800 mashineni lkn,,,

Tuachane na hayo,,,
Kwa misele tu Haujambo,, Kahama tena? Au ndo maandalz ya kuja kunsave kuvuna mpunga
 
Ukaribu na umuhimu

Alfred Alder, nguli wa saikolojia, alifundisha kuhusu hitaji kubwa la kila binadamu ambalo ni uhusiano na mtu unaokufanya ujisikie mwenye thamani. Tabia kwa mujibu wa Alder, huakisi thamani aliyonayo binadamu.

Sote kwa viwango tofauti, hutamani kuwa karibu na watu fulani wanaokubali bila masharti. Kwa watoto, hitaji hili lina nguvu kubwa zaidi.

Mtoto kwa kawaida, anahitaji kufahamu kuna watu wa maana wanaomthamini na kumchukulia kuwa ni mtu muhimu.
 
Mtoto anayejisikia kuwa mtu wa maana, huwa na ujasiri, huwa na upendo kwa watu na ni mwepesi kuwa na ushirikiano.

Lakini mtoto anayekosa ukaribu na watu wa maana, mtoto anayeamini hana thamani yoyote, hukata tamaa.

Watoto waliokata tamaa mara nyingi nao hukosa nidhamu; huwa na vurugu na hufanya vitu visivyoingia akilini kwa lengo tu la kuwaumiza wengine.

Katika kuwafanya watoto wajisikie karibu nao, wazazi wengi hufikiri kudekeza kunasaidia.
 
Mtoto anayejisikia kuwa mtu wa maana, huwa na ujasiri, huwa na upendo kwa watu na ni mwepesi kuwa na ushirikiano.

Lakini mtoto anayekosa ukaribu na watu wa maana, mtoto anayeamini hana thamani yoyote, hukata tamaa.

Watoto waliokata tamaa mara nyingi nao hukosa nidhamu; huwa na vurugu na hufanya vitu visivyoingia akilini kwa lengo tu la kuwaumiza wengine.

Katika kuwafanya watoto wajisikie karibu nao, wazazi wengi hufikiri kudekeza kunasaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…