Nzurii tuuZa wewe
Japo kinafki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tupendane[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]
Duh wanatulisha mavumbi tu,itabid na sisi huku dsm tuanze kulima mahindi yenu sasa
ni kweli ardhi ya goguryeo eneo lake kubwa lilizungukwa na milima na mabonde na ndio maana watawala wengi wa goguryeo waliona njia pekee ya kupata msosi wa kutosha ni kuzitawala nchi nyengine hususan baekje na shilla ambazo zilikuwa zinapatikana ukanda wa kusini.Kikubwa kilichokuwa kinaiumiza Goguryeo ni kwamba walikuwa na nguvu kubwa sana lakini hawana ardhi yenye rutuba hivyo walikuwa na changamoto sana ya Food Security na hichi ndicho kilimfanya Gwangaeto ajitanue kwa nguvu. Angeishi miaka mingi basi angetawala hadi Japan na Urusi.
[emoji1] [emoji1] hii bailojia itakuwa ni ya miaka ya sabibi sabini flani hivVumbi si ni dawa jaman vumilien tu vitamin hizo
Salama jirani...huko kwenu salama?Japo kinafki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Za jioni jirani?
Jirani kwema?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Salama tuuSalama jirani...huko kwenu salama?
Hahahahahaha!!!!!Sana aisee, hata sasa hv kuna baadhi ya sehemu wanauza mchele sh. 800 mashineni lkn,,,
Tuachane na hayo,,,
Kwa misele tu Haujambo,, Kahama tena? Au ndo maandalz ya kuja kunsave kuvuna mpunga