Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

BRM0s07jUxt.jpg
 
hahahahaaaaa Emperor Taizong (li shimin) (28 January 598 – 10 July 649) alikutana na dhoruba ya hatari zaidi ya kimbunga kutoka kwa wanajeshi wabishi wa goguryeo chini ya general yang manchun.
li shimin
ndiye aliyemsaidia baba yake kupindua utawala wa sui dynasty na kuanzisha utawala wa TANG.
mwaka 643 AD goguryeo waliivamia Silla ndipo shilla wakaomba msaada kwa tang na mfalme li shimin akaamua kuwasaidia kwa kuishambulia goguryeo na alifanikiwa kuidhibiti miji ya liaodong na baicun.alipoona kampeni imefanikiwa akaamua avamie mji mkuu wa Pyongyang ili aifanye goguryeo koloni lake.
alifanya kosa kubwa sana li shimin na ndio maana aliomba mrithi wake asiivamie goguryeo.
balaa wanajeshi wa goguryeo walirudi kwenye vita iliofanyika Mount Zhubi hivyo basi ngome ya ANSI ikiongozwa na general YANG MANCHUN ilishajiandaa kwa uvamizi wowote dhidi ya Tang.
tang walikuwa na machaguo mawili ikiwemo kwenda moja kwa moja hadi pyongyang au wapite ANSI FORT ili ngome hiyo nayo waimiliki.
wakati wa mjadala na li shiji alimwambia
nasikia ngome ya ansi ni ngumu sana na hata kiongozi wake alikataa kumuunga mkono yeon gaesomun kwenye mapinduzi, na hata yeon gaesomun alishindwa kumshawishi yang manchun amuunge mkono na mwisho yeon gaesomun akaamua aendelee kumuacha manchun awe kiongozi wa ansi fort.
hivyo nasi ni bora tushambulie geonan na ndipo tuvamie ansi fort.

jeshi la tang lilikutana na dhoruba kali sana licha ya kuwa na idadi kubwa ya wapiganaji na chakula cha kutosha.
hahahahahhaaaaaaa nadhani ujasiri wa korea kaskazini unatokana na goguryeo
220px-TangTaizong.jpg
Ewaaaah Taizong , sasa Wanahistoria wa kichina walificha ile Tablet ya Taizong ambayo aliandika hayo maneno machache "Do not attack Goguryeo". Wanakataa mpaka leo kwamba yale maneno yalisemwa. Maana unaambiwa Tang walikuwa matajiri sana na wana Cavalry hiyo ya hatari sana. Walikuwa wanawaonea sana falme za Vietnman, Thailand, Burma lakini Goguryeo walikuwa wanakaa. Kiufupi falme zote za Korea zilikuwa ni balaa hasahasa Goguryeo na Baekje. Baekje ilikuwa ndogo sanaa kuliko Shila na Goguryeo lakini kuna kipindi kama miaka 100 hivi ilikuwa inawaonea wotee wale.. Hawa majamaa utata hawajaanza leo yani.....
 
UNAFAHAMU HUDUMA YA KWANZA KATIKA RUNINGA?

John Logie Baird alizaliwa August 13, 1888 katika mji wa Helensburgh, Argyll, Scotland na elimu yake aliipata katika shule ya Larchfield Academy ambayo kwa sasa inaitwa Lomond School.Na alifariki June 14, 1946. huyu ndiye mtoa huduma wa kwanza katika runinga.Alikuwa ni injinia kutoka scotland..Huduma ya kwanza katika runinga ilianza septemba 30,1929 kutoka shirika la utangazaji la uingereza kwenye studio ya Long Acre,Uingereza
 
Back
Top Bottom