Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ewaaaah Taizong , sasa Wanahistoria wa kichina walificha ile Tablet ya Taizong ambayo aliandika hayo maneno machache "Do not attack Goguryeo". Wanakataa mpaka leo kwamba yale maneno yalisemwa. Maana unaambiwa Tang walikuwa matajiri sana na wana Cavalry hiyo ya hatari sana. Walikuwa wanawaonea sana falme za Vietnman, Thailand, Burma lakini Goguryeo walikuwa wanakaa. Kiufupi falme zote za Korea zilikuwa ni balaa hasahasa Goguryeo na Baekje. Baekje ilikuwa ndogo sanaa kuliko Shila na Goguryeo lakini kuna kipindi kama miaka 100 hivi ilikuwa inawaonea wotee wale.. Hawa majamaa utata hawajaanza leo yani.....
 
UNAFAHAMU HUDUMA YA KWANZA KATIKA RUNINGA?

John Logie Baird alizaliwa August 13, 1888 katika mji wa Helensburgh, Argyll, Scotland na elimu yake aliipata katika shule ya Larchfield Academy ambayo kwa sasa inaitwa Lomond School.Na alifariki June 14, 1946. huyu ndiye mtoa huduma wa kwanza katika runinga.Alikuwa ni injinia kutoka scotland..Huduma ya kwanza katika runinga ilianza septemba 30,1929 kutoka shirika la utangazaji la uingereza kwenye studio ya Long Acre,Uingereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…