Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tumia mafuta vizuri

Hakikisha unatumia mafuta vizuri mara uendeshapo gari umbali mrefu ili kuhakikisha unapunguza gharama zisizokuwa za lazima.

Hakikisha pia huachi kiwango cha mafuta kipungue sana ili usije ukaishiwa mafuta kwenye eneo ambalo liko mbali na kituo cha mafuta.
 
Fahamu kuhusu hali ya hewa

Safari yako inaweza kuathiriwa kwa kiasi kikubwa na hali ya hewa. Hivyo ni vyema ukahakikisha unafahamu hali ya hewa ya eneo unalokwenda ili ujiandae mapema.

Kwa mfano kama kunatarajiwa kunyesha mvua, ni vyema ukachunguza kama barabara utakayoitumia kama huwa inapitika wakati wa mvua ili usije ukakwama.

Unaweza kutumia vyombo vya habari au mtandao wa Google ili kufahamu hali ya hewa ya eneo unalokwenda.
 
Endesha kwa mwendo wa wastani

Mwendokasi ni chanzo kikubwa cha ajali na matatizo mengi barabarani. Ni muhimu kuendesha gari kwa mwendo wa wastani ili kuepusha matatizo yasiyokuwa na ulazima.

Kumbuka! Unapoendesha gari kwa mwendo wa wastani ni rahisi kujihami mara kunapotokea tatizo barabarani.
 
Zingatia burudani

Burudani tena? Ndiyo, unaweza kubeba miziki ambayo itakuburudisha wewe pamoja na wale unaosafiri nao ili msichoke muwapo safarini. Kusikiliza mziki wakati wa kuendesha gari kutakuweka katika hali (mood) nzuri sana.
 
Fahamu vyema eneo unalokwenda

Je unafahamu vyema barabara utakayoitumia kufika kwenye eneo unalokwenda? Ili kuepuka kupotea au kukwama kwenye safari yako, ni muhimu ukafahamu vyema eneo unalokwenda.

Unaweza kuwauliza watu wanaofahamu eneo hilo au kutumia ramani mbalimbali kama vile Ramani za Google.
 
Pasipo shaka naamini umeona jinsi ambavyo kuendesha gari umbali mrefu kunavyohitaji maandalizi na mikakati muhimu. Kwa hakika ukizingatia mambo haya yaliyoelezwa hapa utaweza kuwa na safari salama yenye amani na furaha.
 
Pumzika

Ili uweze kuendesha gari vyema wakati wa safari ndefu ni muhimu kupumzika kwa kiasi cha kutosha kabla na wakati wa safari.

Hakikisha kabla ya safari unapata muda wa kutosha wa kulala ili kuepusha kusinzia barabarani kunakoweza kusababisha ajali. Unapokuwa barabarani unaweza pia kupumzika baada ya umbali fulani ili usichoke sana.

Kumbuka! Kupumzika uwapo safarini kutakuwezesha kupata nguvu zaidi na kutoa nafasi ya gari lako kupoa ili kuepusha ajali ya gari kuwaka moto.
Kunasiku tulikuwa tunasafiri dereva ana sinzia kabsaaa! Yaan nusu atuingize mabondeni huko
Halaf abiria nao kama asilima 98% walikuwa wamelala.
Hakuna alo stukoa mchezo zaidi ya mimi na jamaa zangu wawili
 
Pasipo shaka naamini umeona jinsi ambavyo kuendesha gari umbali mrefu kunavyohitaji maandalizi na mikakati muhimu. Kwa hakika ukizingatia mambo haya yaliyoelezwa hapa utaweza kuwa na safari salama yenye amani na furaha.
 
Taarifa za kuachia ngazi kwa Kocha wa Real Madrid, Mfaransa Zinedine Zidane wala sio stori tena. Hili mbona saivi ni gumzo tu hapa kijiweni 'hadi Hamisi muuza Kahawa anazijua'. Kifupi habari hiyo wala sio dili tena.

Hata hivyo, kama wewe ni miongoni mwa wanaoendelea kustaajabu ya Musa na hasimu wake Firauni, basi hujayasikia ya Zinedine Yazidu Zidane 'Zizzou'
 
Baada ya kuitumikia Real Madrid ka kipindi cha misimu mutatunya mafanikio makubwa, Zizzou ameamua kutuacha na rekodi hizi. Tuliza mzuka soma mwanaspoti uelimike zaidi, kwani unafikiri huwa tunabahatisha? Hizi rekodi hizo:

1. Kikosi chake kimecheza jumla ya mechi 149, ikafunga mabao 393, ikashinda mechi 104, ikatoka sare mara 29 na kupoteza mechi 16 tu huku ikitia ndoo tisa kabatini.
 
Back
Top Bottom