Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

3. Zidane ameiongoza Real Madrid kushinda mechi 73 katika michuani ambayo kikosi hivo kilishiriki kuanzia Aprili 2016 hadi Septemba 2017 na kuifikia rekodi ya awali iliyowekwa na Santos FC ya Pele, iliyowekwa mwaka 1963.
 
4. Chini ya uongozi wa Zinedine Zidane, Klabu ya Real Madrid, iliweka rekodi ya kuwa klabu ya kwanza katika historia ya La Liga, kuandikisha ushindi katika mechi 13 za Ugenini. Rekodi hii waliiweka katika kipindi cha kuanzia Februari hadi Oktoba 2017
 
6. Zidane ndio kocha wa kwanza wa Real Madrid, aluyehudumu chininya utawala wa Florentino Perez, aliyefundisha kikosi hicho na kuachia ngazi mwenyewe bila kushinikizwa wala kupigwa kalamu. Wengine wote walikumbana na shoka la kibopa huyu.
 
Back
Top Bottom