Uko peke yako?Beba kisanduku cha huduma ya kwanza. Ni muhimu kuwa na kisanduku cha huduma ya kwanza kwenye gari ili upatapo tatizo la kiafya kikusaidie.
Beba vifaa vya msingi vya matengenezo ya gari. Vifaa kama vile jeki, spana, tochi, n.k. ni muhimu sana.
Si nipo na wewe jamanUko peke yako?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Si nipo na wewe jaman
Acha uoga wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
My God!
Mi ndio mefika hapa ikabid niulize kwanza
Kunasiku tulikuwa tunasafiri dereva ana sinzia kabsaaa! Yaan nusu atuingize mabondeni hukoPumzika
Ili uweze kuendesha gari vyema wakati wa safari ndefu ni muhimu kupumzika kwa kiasi cha kutosha kabla na wakati wa safari.
Hakikisha kabla ya safari unapata muda wa kutosha wa kulala ili kuepusha kusinzia barabarani kunakoweza kusababisha ajali. Unapokuwa barabarani unaweza pia kupumzika baada ya umbali fulani ili usichoke sana.
Kumbuka! Kupumzika uwapo safarini kutakuwezesha kupata nguvu zaidi na kutoa nafasi ya gari lako kupoa ili kuepusha ajali ya gari kuwaka moto.
Asa uoga gani bro?Acha uoga wewe