Hee kumbe ulikesha haya usingizi mwemaKhaaa!
Nikajua ulitoboa
Haya mi ndio.nalala now
Nime kesha leoHee kumbe ulikesha haya usingizi mwema
Eeeh eeh! Sio utani hata kidogo, mie mzima.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kisa hyo chura, acha utani
Vp mzima ww?
Hahahahha eti jipya. Haya lala usije umwa bure nikakosa wa kubishana nae kuhusu cr7Nime kesha leo
Sema kila nikitaka nilale napata jipya la kufanya [emoji1]
Mfano now niko jf akat ilifaa nilale
Yaan nyie mmeamka tuu mnaongelea churaEeeh eeh! Sio utani hata kidogo, mie mzima.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahahahha eti jipya. Haya lala usije umwa bure nikakosa wa kubishana nae kuhusu cr7