ndio wakina nani hao chief?K. Honda
hii show nimeiangalia kwa bahati mbaya tu alafu ikanivutia...ss hivi nakereka tu, mambo ya kutuletea episode moja moja ni ya kitoto,Siren
na mafundi wa kiTanzania walikua wahuni sana, kidogo ss hivi naona wamekuwa maProfessional ukiwaelekeza wanafanya kama unavyotaka.Kutokubainisha mahitaji
Mahitaji ya nyumba hutofautiana kati ya mtu mmoja na mwingine. Hivyo ni vyema ukabainisha mahitaji yako kwa nyumba husika. Nimeshuhudia watu wakijenga nyumba na kuzivunja ua kuzifanyia marekebisho kila mwaka kutokana na kutobainisha mahitaji yao mapema.
Zamani mafundi walikua waLocal sana, ss hivi maEngineer kabisa unamkabidhi kazi anachora na kuijenga vizuri kabisa.Kutumia mafundi duni
Wengi hupenda kuokoa gharama kwa kutumia mafundi wenye uwezo mdogo ili wawalipe kwa bei nafuu. Ni wazi kuwa rahisi inaumiza. Jiande vyema kabla ya ujenzi ili uweze kuitendea haki nyumba yako kwa kutumia mafundi bora wanaoimudu kazi yao vyema. Kutumia mafundi bora kutakufanya kupata pia kazi yenye ubora.
[emoji122][emoji122][emoji122]Ni wazi kuwa ujenzi wa nyumba ni shunguli pevu inayohitaji kutulia, moyo na maandalizi stahiki. Hakuna kitu kinachoshinda nia na mipango mizuri. Naamini kwa kuyaepuka makosa tajwa hapo juu utaweza kujenga nyumba bora, salama na ya kisasa kabisa.
Kipare hichoLugha gani hii mkuu?