ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,468
- 67,492
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulivyolalamika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii show nimeiangalia kwa bahati mbaya tu alafu ikanivutia...ss hivi nakereka tu, mambo ya kutuletea episode moja moja ni ya kitoto,
wapuuzi sana hawa
Mimi niliangalia episode moja tu nasubiri wamalize kutoa zote niangalie vizuri