Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

hii show nimeiangalia kwa bahati mbaya tu alafu ikanivutia...ss hivi nakereka tu, mambo ya kutuletea episode moja moja ni ya kitoto,

wapuuzi sana hawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulivyolalamika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi niliangalia episode moja tu nasubiri wamalize kutoa zote niangalie vizuri
 
''tunayavusha katika bahari na bahari kuna wakati inakua inachafuka, vitu vinapinduka lakini sasa ndio kazi hiyo'' Anasema bwana Abdallah
Wategemeaji wa mafuta kuendesha kazi zao, kama wamiliki wa taxi na bajaji, wanasema mafuta huchukua muda mrefu kufika hivyo biashara zao huweza kuathirika.
 
Bakari ismail ni dereva wa Tax anasema kuwa amewahi kusimamisha Bashara yake kutokana uhaba wa mafuta.
''Nimewahi kupaki gari wa muda wa siku nne, wateja wananipigia simu nawaambia kuwa sina mafuta hadi nilivyopata mafuta nikaendelea na biashara''
 
Serikali imewezaje kuruhusu mafuta kuuzwa kwa namna hii?
Mkuu wa wilaya ya Mafia, Shaibu Nnondoma anasema kuwa wameruhusu wauzaji hawa wa mafuta katika vibanda kutokana na usafiri wa mashua hauwezi kuleta mafuta kwa wingi, hivyo wafanya biashara hawa wamekua na umuhimu mkubwa katika upatikanaji wa mafuta kisiwani hapa.
''Wafanyabiashara wadogo wadogo wananua kwa bei ya kawaida na wanakuja kuuza hapa, tumewaruhusu wauze kwa bei ya soko itakavyowaruhusu kwasababu akiuza bei ndogo sana hawezi kupata faida na wanasaidia sana wakazi wa hapa''amesema Nnondoma.
Hata hivyo hapo awali walikua wanauza karibu na makazi ya watu , lakini uongozi wa kisiwa hiki uliwahamishia mbali na makazi ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…