Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

The struggle is real bro...Ukikaa siku mbili tatu bila kuingia huku unakosa hata raha. Nina will power kubwa ya kuacha vitu nikiamua lakini uzi huu is proving real difficult. Dah [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bro mi nikipata mtaalam wa kunishauri niweze kuacha ntafurahi sanaa
 
Tapatalk ipo playstore inahusika na forums nyingi sana ikiwemo jamii forums kuna forums zaidi 1000.

Screenshot_20180602-074257.jpg
 
Back
Top Bottom