Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mara kadhaa nimejaribu kufanya manunuzi mtandaoni hasa Instagram kwa kuwa watangazaji wote wamehamia huko. Ni mara chache utakutana na tangazo la duka la mavazi, mgahawa au vipodozi katika mitandao mingine kama vile Facebook au Twitter.
Kwa kifupi maisha yamehamia Instagram. Ndani ya akaunti moja maarufu utakutana na matangazo ya bidhaa mbalimbali lakini sasa tatizo wengi ni feki. Wapo wachache wanaojua wanachofanya lakini utitiri wa wafanyabiashara matapeli unachanua kila uchao.