Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

445401280_340290.jpg
 
Katika dunia iliyojaa pilika za kila aina kufanya manunuzi mtandaoni hakukwepeki. Muda ni mchache sana kuanza kuzunguka madukani kutafuta bidhaa wakati kwa msaada wa teknolojia unaweza kukamilisha mahitaji yako ndani ya muda mfupi.

Utamaduni huo umeshamiri nchini, lakini sasa biashara mtandaoni imevamiwa na wajanja ambao wanaharibu dhana nzima. Binafsi nipo makini sana ninapofanya manunuzi mtandaoni. Kama asipokuwa rafiki basi ndugu yangu kwa kuwa wafanyabiashara nisiowafahamu wamenitenda sana.
 
Back
Top Bottom