Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Majukumu bro. Nipo. Tupo [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Nop bro sijafunga
Ulipotea siku mbili tatu .
hahahaa ....Mkuu asante sana "" na shukuru ana yajua mapenzi yangu vyema " kuhusu historia ..ngoja niitafute hii kitu aiseee.....
Huu mstari naupataKuna kituo cha treni reli ya kati kinaitwa Salanda pale kulikuwa na nyama za kila aina. Unanunua paja kuuuubwa ukiuliza nyama ya nini hii unaambiwa ni kuku. Mishikaki laiini ikiulizia unaambiwa mbuzi. Pale tulikula nyama za kila aina....kimtiacho mtu unajisi siyo kimwingiacho bali kimtokacho bro...
Huu wimbo bwana....hahahaa ....Mkuu asante sana "" na shukuru ana yajua mapenzi yangu vyema " kuhusu historia ..ngoja niitafute hii kitu aiseee.....
Siku ya kwanza ya kumkaribisha mgeni ilikuwa shida sana hahaha Mara alale kwenye kirago chake .Death is coming to Brooklyn, and its got butt teeth and a cotton tail.
Kevin Hart aliua sanaaa.......
RIP RICKY......
Kama hakina sumu. Kwangu mimi hakina shida bro...Ndiyo maana nilishasema siku nikitia mguu kwa Mao nitajaribu karibu kila kitu [emoji16][emoji16][emoji16]Huu mstari naupata
Bro ni kweli kiingiacho hakina shida
Naaam Jamaa alikuwa kwenye ubora wake aisee...nakumbuka huo mwaka Ali relies nyimbo 2 matata sana "......true love na if luv is a crime "...Hata utunzi ulikuwa fresh sana
The Fat Dog and Tinny Dog....Siku ya kwanza ya kumkaribisha mgeni ilikuwa shida sana hahaha Mara alale kwenye kirago chake .
ha hahaa wimbo wa nani tena huo "" hiyo cover yake imenizubaisha aiseee....Huu wimbo bwana....
Hiphop moja ya zamani bwana....ha hahaa wimbo wa nani tena huo "" hiyo cover yake imenizubaisha aiseee....
Asalaam AlyekumVarshita[emoji327][emoji327]
kweli hapo umeniweza...sikuwahi kuisikia hii...ngoja nikaipitie ""Hiphop moja ya zamani bwana....