[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha uchokozi ww, aliyekuambia saa moja ni naniMmh wewe wanafuturu saa moja mbona bado
Hot line bling ".. hahaha nilichapia "" ...hii ngoma hatari sana aisee....""
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenchekesha sana broUnajua huwa sichezi kwenye futari. Nitakuja hapo na nitawaacha mnaangaliana hamuamini kilichotokea ohooo [emoji16][emoji16][emoji16]
enzi huyu Dada/mama ana tamba "" ulikuwa hauniambii kitu kwake ..nilikuwa na muelewa mnoo aisee..""..Halle Berry
Hao jamaa ni muda sana aisee,, ila ngoma still znaish,,mzk haufiHuwa wananikumbusha mbali sanaaa!
Nikiwasikiliza huwa natamanigi hadi kulia yani!
Huyu rapper ana voice tamu sana ya michanoWale ft Melanie Fiona- Beautiful Bliss
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Umeisahau PANDAGICHIZA
TZ yangu mwenyewe nitaachaje kuifahamu jamani [emoji23][emoji23][emoji23], Nikiamka nafanya kufikiria tu kesho nende wapi, mie huyoo...Nachanja mbuga.[emoji23][emoji23][emoji23].....
Hata nikiamua kesho naweza kumuibukia Ningendako huko anakovuna mpunga ashangae....Sasa sijui atakimbia???
Nkoyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,
Waleykum salaam kakakeAsalaam Alyekum