carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Duh!Me najua mahari anataja muolewaji,ila kuna vile vya lazima vya mila na desturi ya jamii husikaKiafrika afrika unapanga ukoo mzima ila muolewaji lazima akuchumekee kidogo kwamba jamaa yangu hayuko njema mumpangie kwa hikma kidogo
A round of applause [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Aisee hata sijui. BAKITA wanaweza kutusaidia. Ni uwanja mpya katika sayansi na unaleta matumaini makubwa katika nyanya nyingi hasa katika tiba, electronics, Astronomia na kwingineko. Kwa mfano, wanasema huko mbele ya safari hakutakuwa hata na haja ya kufanya operesheni bali kutakuwa na nano therapy/treatment. Viroboti vidogo dogo (nano robots) vinatumwa huko ndani mwilini vinakwenda moja kwa moja kushambulia seli zenye kansa, kukwangua plagues za lehemu (cholesterol) kwenye mishipa ya damu na mengineyo mengi. Na kwa kadri chips zinavyozidi kuwa ndogo kutakuwa na uwezekano sasa wa kuunda nano satellites (kwa mamilioni) ambazo zitaweza kufanya kazi bora zaidi kuliko haya masatellites makubwa ya sasa. The possibilities are endless bro...
Muolewaji tena? Koromije huku muolewaji hata hajui kiasi cha ng'ombe kinacholetwa. Mila tofauti tofauti aisee...Duh!Me najua mahari anataja muolewaji,ila kuna vile vya lazima vya mila na desturi ya jamii husika
Mzee wa ma fyekero yupo wapiSawa bro. Likes hizi hata kusoma kwa makini hakuna bro
Kwa dini ya ki islam inataka hivoDuh!Me najua mahari anataja muolewaji,ila kuna vile vya lazima vya mila na desturi ya jamii husika
USHATUMIWA KIMSINGI UMESHAFULIA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakujua ww,, kile kiemoj hakija apply hapo
Hizo changamoto itabidi avumilie tu hakuna namnaChangamoto atakazokumbana nazo atakuja kuandika thread nyingine kama JF itakiwepo
[emoji120]