Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa hiyo muolewaji huko koromije hajui anaolewa kwa mahari ya kiasi gani?
Kwetu mahari anataja muolewaji na hayo ya lazima ndo wazee wa ukoo watakaa kujua vinagharama kiasi gani inajumlishwa kwenye mahari kama ni pesa.
Sasa basi nyie ndio mtaniua
Mfano wewe ukataja laki 3
Wazee wakaja kuongeza makorokoro ya lazima ya milion 1 na laki 2
Sasa si ni yale yale tuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…