carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Mshafunga shule uniq?[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Unajua na huyo ni Shemeji yako??? Siwezi kosa hiyo. Karibuni wote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Men will understand! View attachment 792580
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haya ukuwe mkubwa,sijui hata unataka uwe mkubwa wa nini[emoji23][emoji23]
Baridi [emoji109]
Mila haziwezi fanana kwakweliKoromije ni opoziti. Ladba siku hizi. Nimeshakaa vikao vingi sana vya kuelewana mahari na sijawahi kusikia mwolewaji akiulizwa. Mara nyingi kwanza anakuwa hata hayupo
God himslef will deal with you too for those words [emoji23] [emoji23]Kamedumaa[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye avatar ni wwNinalo basi
Kwema maa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anajua sana aisee,, anasauti nzuri sana hajikamui wkt anaimba,abarikiwe sanaYaani acha tu naupenda huu wimbo bila sababu,mercy anasauti nzuri sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa basi nyie ndio mtaniua
Mfano wewe ukataja laki 3
Wazee wakaja kuongeza makorokoro ya lazima ya milion 1 na laki 2
Sasa si ni yale yale tuu?