Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ila mamlaka ya mahakama ya marekani ni tofauti na Tanzania, pamoja anateuliwa na raisi lkn utendaji wake hauingiliwi...wanakua na free will kulingana na sheria,

Trump hana uwezo wa kupindisha sheria sababu ameteua yeye majaji
Nilifikiri hoja yako ni rais kuteua majaji kumbe ni uhuru wa majaji wanaoteuliwa. Kwa uimara na uhuru wa kitaasisi ni wazi Tanzania huwezi kuilinganisha na Tanzania yetu hii ambapo rais bado ni mungu mtu.
 
Hata sheria yetu hairuhusu mahakama kuingiliwa.
Tatizo wananchi wengi hawanauelewa au uthubutu wa kuiwajibisha serikali na ndio maana viongozi wanafanya wanavyojisikia.
 
Nilifikiri hoja yako ni rais kuteua majaji kumbe ni uhuru wa majaji wanaoteuliwa. Kwa uimara na uhuru wa kitaasisi ni wazi Tanzania huwezi kuilinganisha na Tanzania yetu hii ambapo rais bado ni mungu mtu.
Yes, trump anateua na sababu hana jinsi tu inabidi afanye hivyo na anajua uteuzi wake ahautamnufaisha kwa sailimia zote,

Lkn ss africa uteuzi unaangalia hasa yule ambae atakua anafanya yale unayoyataka ww
 
Nitafutie kamusi mkuu nataka kwenda saka mchumba Geita
 
Angekuwa yupo TZ angemwagiwa povu la hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…