Asanteh sana mkuu.Mkuu kuwa huru tu uandishi wowote unaeleweka,mie najiandikiaga tu bila kujali uandish mbaya au mzuri ili mradi ujumbe umefika
Hahaha kweli aisee,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], naona tumedamkia mafuta ya taa...hatujasalimiana..
HUKU KWEMA KABISA.
Kweli kabisaHahaha kweli aisee,,
Kwema pia,, Tumshukuru Mungu kwa siku hii ya leo kuna wengine hawakufanikiwa kuiona
Kila tatizo lina pacha wake. Unaweza jiona upo alone kwenye mateso kumbe wengi tunateseka sema tu hatuna ujasiri wa kuongelea suala hilo hadharani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mawazo yanakimbia mbali sana hadi kwenye kifo hataru sana.
Ila nimeshare naamini kabisa nilivyoshea nime attempt kuli solve tatizo. Sababu nawewe ukivyonambia kuwa unali face kidogo imenipa ahuheni.
Thank you.
Nitajaribu.Futari ya ndizi mbivu
Mahitaji
Ndizi mbivu sita
Nazi pakiti moja
Sukari kiasi
Hiliki ya kutosha
Jinsi ya kutayarisha
Menya ndizi kisha toa moyo wa kati kati, zikate kate kulingana na unavyotaka, zipange ndani ya sufuria.
Weka maji kiasi kulingana na wingi na ugumu wa ndizi, zichemke kidogo zikikaribia kuiva na kabla maji hayajakauka kabisa weka tui la nazi, mimina hiliki na sukari ziache zichemke hadi tui libaki kidogo, zitakuwa tayari kwa kuliwa.