Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Jamani kama kuna mtu anahitaji mirungi awaagize yanga wapo njiani kutoka Nairobi
Hilo noma sanaaa!Hizi gari ni bei ghari sana. Kwanza mjina mrefu hivyo..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwakaleli moja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afadhali wameweka hayo maneno. Usingekawia kusema ni Koromije. Kwema lakini shem? [emoji16][emoji16][emoji16]Mwakaleli moja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo ningesema ni koromije ningewaonea sana,halafu sijui kwanini nawapenda wakoromije[emoji23][emoji23][emoji23]Afadhali wameweka hayo maneno. Usingekawia kusema ni Koromije. Kwema lakini shem? [emoji16][emoji16][emoji16]
We ruka ruka tu. Mahari utatoa utake usitake. Hakuna aliyekuja hapa duniani ili kukuzalia binti mwema mpole pyua waifu matirio halafu wewe uje ubebe bure tu kisa Mpare.Itabidi nimtafute maana ndie shemeji yangu asie na shida huyo Shimba ya Buyenze hafai kama mpare vile