[emoji818][emoji818]Futari ya ndizi mbivu
Mahitaji
Ndizi mbivu sita
Nazi pakiti moja
Sukari kiasi
Hiliki ya kutosha
Jinsi ya kutayarisha
Menya ndizi kisha toa moyo wa kati kati, zikate kate kulingana na unavyotaka, zipange ndani ya sufuria.
Weka maji kiasi kulingana na wingi na ugumu wa ndizi, zichemke kidogo zikikaribia kuiva na kabla maji hayajakauka kabisa weka tui la nazi, mimina hiliki na sukari ziache zichemke hadi tui libaki kidogo, zitakuwa tayari kwa kuliwa.
Sijambo Shunie. Umepita kukagua kagua ama? Uwe unafanya hivyo mara kwa mara japo nami niko macho. Ile kazi uliyonipa naifanya vizuri sana japo kuna changamoto za hapa na pale. So far so good [emoji16][emoji16][emoji16]Msukuma habari yako
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]halafu sijui kwanini nawapenda wakoromije
Mmmmmh.