Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Pamoja na maelekezo hayo, ilikuwa vigumu kufika kijijini na tukajikuta tunaingia kwenye kichaka ambacho tulihisi kuna mtu anafanya shughuli zake.
Kichaka hicho kilipambwa kwa vitambaa vyekundu na vyeupe na ndani kulionekana kumesafishwa.
“Dada huku tumekosea. Tumepita kwenye vichaka vya matambiko. Turudi tukapitie njia ya chini,” anasema dereva wa bodaboda na kunizuia nisipige picha kwa madai tunaweza kujikuta tunaingia matatizoni.