Salaam alaikum Carba wanguIceman[emoji112][emoji112][emoji112]
Hakuna bekitatu tasa[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Najiona kabisa nikidondokea mikononi mwa beki tatu. Mtoto sio wa kawaida [emoji7]
No its not an article its a textReading your text
A.salaam iceman wake n......[emoji4][emoji4][emoji4]Salaam alaikum Carba wangu
Nini sasa???Mmmh!!
Hahahahahaaha, dooo, ungeenda kwenye uzi wao uyaseme hayo ungeoga povu la hatariJamani kama kuna mtu anahitaji mirungi awaagize yanga wapo njiani kutoka Nairobi
Hujambo jiraniMmmh!!
Kweli kabisaPalipo na wazee hapaharibiki jambo
Braza hongera kwa beki tatuNajiona kabisa nikidondokea mikononi mwa beki tatu. Mtoto sio wa kawaida [emoji7]
Innalillah wainalillah rajiunMganga Mkuu mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Iringa, Museleta Nyakiloto amezungumzia vifo vya pacha walioungana Maria na Consolata Mwakikuti, akieleza kuwa walipishana dakika 10 kufariki dunia.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumapili Juni 3, 2018, Nyakiloto amesema walifariki dunia jana saa 2 usiku katika hospitali ya mkoa wa Iringa walikokuwa wakipatiwa matibabu.
“Walikuwa na tatizo la upumuaji. Walipishana dakika 10 kuaga dunia wakati wakipatiwa matibabu ICU (chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum). Walikuwa wamelazwa tangu Mei 17, 2018 walipotoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam,” amesema.
“Tangu wafike hospitalini hapa hatukuwahi kuona wamebadilika kiasi kile. Maria ndio alitangulia kufariki na baada ya dakika kumi alifuata Consolata. Consolata alipomuona Maria anahangaika na umauti kumkuta naye alihangaika na kumwambia daktari kuwa wanakufa, baada ya muda na yeye aliaga dunia.”
Unaniudhi[emoji20][emoji20]Nini sasa???
Chapa ya Tukuyu hiyo, teh teh teh
Sijambo jirani za weekendHujambo jirani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuna bekitatu tasa[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Sikumbuki mara ya mwisho lini hata nilifikiria kukuudhi wewe.Unaniudhi[emoji20][emoji20]