Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Akiendelea kusimulia jinsi walivyoafikiana na tajiri huyo, Mayonga anasema walimruhusu mtoto wao Pili aende ili awasaidie kukabiliana na hali ngumu ya maisha, lakini pia tamaa ya baba mzazi ya kutaka mali, yaani ng’ombe
Anasema mzazi mwenzake ambaye alimtaja kuwa ni Iyobhe Kakungu mwenye umri wa miaka 70, walikubaliana na yule tajiri anayeitwa Mathias na kuandikishiana makubaliano kwa kiongozi mmoja (jina tunalihifadhi) kwamba kila mwezi awe analipwa Sh150,000.