[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kama uzinduzi wa Mwifwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ayeee! Siku ya kuchukua kijiji hiyo inakuwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tena wewe ulivyo ngangari hivi hapa halafu paaap unamzindua Yego aisee itakuwa patashika nguo kuchanika. Watu watataka kujua who is he na ana nini mpaka kamlainisha Numby mwanamke wa shoka asiyeback down kwenye mabifu na vita vya kila aina. Do it please !!!
Kwema za kwako jiranisalama kabisa mkuu..kwema huko
Wewe ukimbie ID wewe? Unless kama kutakuwa na sababu zingije...na siku hiyo hiyo utapoteza urolo modo kabisaaa [emoji2][emoji16][emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]acha hizo nisije kimbia ID yangu mwenyeweee
Aaaaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kama uzinduzi wa Mwifwa
Hahahaha una vitisho wewe aaaah jaman urolo modo naupenda ndo maana najiweka single humu duh mashikolo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe ukimbie ID wewe? Unless kama kutakuwa na sababu zingije...na siku hiyo hiyo utapoteza urolo modo kabisaaa [emoji2][emoji16][emoji16]
Aaaaah
Asee nilikuwa suprised sku ile! Hahahaha
Hata wewe ulitu suprise na ulichukua kijiji kizima mpaka mods!
raha ya uzonduzi ni watu wawe suprised
Kila mtu na mtuwekila mtu ni muhimu
kweli kabisaKila mtu na mtuwe
Na suprise iwe pale unapotosa proposal ya memba maarufu kama genta kisha unaibuka na kijana mpyaaaaaaaaaa toka kwenye karatsi kama nguo za spenso[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Aaaaah
Asee nilikuwa suprised sku ile! Hahahaha
Hata wewe ulitu suprise na ulichukua kijiji kizima mpaka mods!
raha ya uzonduzi ni watu wawe suprised
Kama bro Davet mi nilikuwa sijawahi kumsikia. Enzi zile kule kwingine kulikuwa na jamaa anajiita Baba D. Nilidhani ndiye alikuwa mmiliki tena wa halali kabisa. Halafu wachovu wakawa kila siku wanaanzisha thread kibao halafu vu bin vu from nowhere Davet akazinduliwa. Just like that kijana wetu akawa selebriti. Apone haraka kwa kweli...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kila.mtu ataanza kufuatilia hadi Yego huwa ana post vitu gan hivo
Yaan itakuwa ni epic
mwanamke wa shoka...Tena wewe ulivyo ngangari hivi hapa halafu paaap unamzindua Yego aisee itakuwa patashika nguo kuchanika. Watu watataka kujua who is he na ana nini mpaka kamlainisha Numby mwanamke wa shoka asiyeback down kwenye mabifu na vita vya kila aina. Do it please !!!
[emoji23] [emoji23]mwanamke wa shoka...