carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
She's lucky[emoji1][emoji1]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Dah!hushibi kande??
We mwanaume unanini??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kande zinavyoshibisha mwee
Si alikuwa anapata ile kitu roho inapenda? HAKUNA mwanaume mjanja hapoNa,wewe ukakubali kukuwa slave[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wa hivyo huwa hawabadiliki ng'oo,utaumiza moyo wako hadi uchoke mwenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
I was i thought one day she will come along
Amin[emoji120][emoji120][emoji120]Ngojeni mi nikatafute recipe za kande jamani. Daku jema na kesho mkawe na siku njema iliyojaa amani na mibaraka [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Nilikula daku saa2,nilihisi njaa[emoji23][emoji23]
Ugali wenyewe ambao hujui.........[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Huwa spendi kande
Bora tule ugali maharage nijue moja
[emoji124]
Unanichekeshaga sana na hii kauli yako ya kutoshibishwa na kande. Chips zikushibishe halafu kande zishindwe?[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Bruh! Kande sitashiba
[emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijamtetea bhana,hiyo kauli tu ndo imenichekesha.
Eti kakutumia
Kesho ratiba yangu nzuri. Hata nikivimbiwa sawa tu. Daku la kande mhhh. Katafute vyakula vyenye uahueni kidogo shem.Utachelewa kula sana.
Zikiiva niite nitakuja maana nina ubao hatari[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si alikuwa anapata ile kitu roho inapenda? HAKUNA mwanaume mjanja hapo
Nilikuwa na njaa[emoji1][emoji1][emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
I cant you
Saa mbili!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Watu wa hivyo huwa hawabadiliki ng'oo,utaumiza moyo wako hadi uchoke mwenyewe
Hata mwenyewe nimeshangaa kwakweliUnanichekeshaga sana na hii kauli yako ya kutoahibishwa na kande. Chips zikushibishe halafu kande zishindwe?
Mipasho tu ya mtandaoni hii hakuna lolote. Haya mambo yanachosha balaa hasa ukiwa mbali. They will consume you emotionally mpaka unapoteza hata ubig brathee.She's lucky[emoji1][emoji1]
Gud nyt or evening or whatever time is where you areNgojeni mi nikatafute recipe za kande jamani. Daku jema na kesho mkawe na siku njema iliyojaa amani na mibaraka [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ugali wenyewe ambao hujui.........[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana ila kakupa funzo maana siku nyingine ukiona mtu anakufanyia hivyo unainuka mapema[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli yaan unajua kabsa mtu kakuacha kwa kuwa amefanikisha mambo yake flan
Na alikuwa ana hang na wewe kwa kuwa shida ilikuwa haija isha.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Gud nyt or evening or whatever time is where you are
Sijapata sehemu ya kupata chips saizi[emoji17][emoji17][emoji17]Kesho ratiba yangu nzuri. Hata nikivimbiwa sawa tu. Daku la kande mhhh. Katafute vyakula vyenye uahueni kidogo shem.