[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unashiba chakula gani??
Naona walifanya sherehe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaan kuna marafiki zangu waliposikia relationship imeisha
Walifurahi kishenzi maana walikuwa wana nionea huruma halaf wanashindwa kusema
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole na hongera bhana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Stop it
Wanataka wanichafulie cv
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumpata soulmate mara zote sio kwa ajili ya mapenzi tu . Unaweza kumpata soulmate katika urafiki pia
Poa mamNaona walifanya sherehe[emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nikasake msosi bhana,baadae[emoji112][emoji112][emoji112]nakuacha na numby hapo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wat iz zis!
Friends ambao ni soulmate hiyo idea ndio una nipa leo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]