Ok kumbe,mie huwa napakua ijumaa ila siku hizo nimekua mvivu sana hasa vikorea navipenda mnoSjalala nilikuwa kuna vitu nabipakua kwenye net
Kesho navihitaji
Kule naenda mara chache hasa nikishiba likes,ila saiv bado sijashiba likes[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Fayaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nlienda kukutafuta celebrity skukuona leo
Hivi nikivokosa kesho vita ninyima ugali lazima viishe leoOk kumbe,mie huwa napakua ijumaa ila siku hizo nimekua mvivu sana hasa vikorea navipenda mno
Umejitetea wee kwa carba ila pumzisha neno ugali sidhan hata kama unaulaga[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi nikivokosa kesho vita ninyima ugali lazima viishe leo
Mi mwenyewe hupenda kupakua vitu weekend
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kule naenda mara chache hasa nikishiba likes,ila saiv bado sijashiba likes[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nyie mi ni mtanzania mwenzenu nakula ugali vzuri tuuUmejitetea wee kwa carba ila pumzisha neno ugali sidhan hata kama unaulaga[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huku pia pananilinda na unnecessary dramas ndo maana napapenda sana,nshasahau vituko vya MMU na kwengineko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Good!
Kwenye hili la kuzisaka like pia nakuaminia
Mtanzania mwenzetu wa wapi weye kila kitu unashangaa utadhan umefunguliwa leo toka kwenye chupa na aladiniNyie mi ni mtanzania mwenzenu nakula ugali vzuri tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
True huku kuna kufanya hata usi ichoke jfHuku pia pananilinda na unnecessary dramas ndo maana napapenda sana,nshasahau vituko vya MMU na kwengineko
Na mie siwacheleweshagi tunamalizana hapo hapo tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]True huku kuna kufanya hata usi ichoke jf
Ujue ukizurura lazma kuna watu wata ku piss off tuu.
[emoji23]Mtanzania mwenzetu wa wapi weye kila kitu unashangaa utadhan umefunguliwa leo toka kwenye chupa na aladini