Mkuu hiyo picha nikiiangalia kwa nyuma kama ni Mwakaleli vilee?!!![emoji2] View attachment 794714
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120], ......edited....BARIKIWA [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], maumivu yake sasaaaa..How I used to sacrifice my two balls to save one ball. [emoji119]
View attachment 794700
Kama vile unayajua [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], maumivu yake sasaaaa..
Alishasema mara nyingi kuwa ni shotiii...vere shotiiii...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi ni shotiii eeh???
Nakuelewa sana mkuu. Ni kumtegemea Mungu tu vinginevyo mtu unaweza hata kuchanganyikiwa !!!Mungu ni mwema.
Mwenyewe imeniumiza sana, nikaona niisogeze huku japo tujikumbushe majukumu yetu. Utajiri wa hapa duniani sio mali tu,kuna amani ya nafsi ikiwa tu utatenda yampendezayo Mwenyezi Mungu.
Kuondokewa na mzazi ni pigo kubwa sana, kukosa faraja kutoka kwa ndugu kunakifanya kidonda cha kupotelewa na mzazi(kisipone) kiendelee kutoa usaha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],,Kama vile unayajua [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Huo mpira mkubwa ulio fungwa kwa makaratasi ya naironi halafu umesukwa kwa nyuzi, ukiwa na uzito wake baada ya kunyonya maji, umewahi kukufikia kwenye vikengele vyako hivyo viwili? Maumivu (kaptula iwe imechanika katikati ibaki kama sketi) yalikuwaje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], maumivu yake sasaaaa..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nili kumisimo.Huo mpira mkubwa ulio fungwa kwa makaratasi ya naironi halafu umesukwa kwa nyuzi, ukiwa na uzito wake baada ya kunyonya maji, umewahi kukufikia kwenye vikengele vyako hivyo viwili? Maumivu (kaptula iwe imechanika katikati ibaki kama sketi) yalikuwaje?