Yale maisha ya utotoni mara nyingi unajitabiria maisha ya ukubwani. Muhimu ni kurekebisha yale yote uliyo gombezwa na walezi na kuzingatia yale tu uliyo sifiwa.Poleeeee Nkundwe ghwangu.....Ila utahukumiwa kwa dhambi ya WIZI.
[emoji23][emoji23][emoji23]huyu ni mkoromije tuHuyu jamaa ni Mkenya na ishu yake nzima ipo inawaka moto huko Telegram. Inasemekana ni husband wa mtu (na ni mvaa magwanda tena mkubwa tu) hapa yupo kwa mchepuko [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shemejiiiiiKampata mume "lishine"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hawa watu hutawashinda kubaliana nao tuSio kweli....Mie nilibeba watoto wa udongo[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hawa watu hutawashinda kubaliana nao tu
Shemeji[emoji119][emoji119]Yale maisha ya utotoni mara nyingi unajitabiria maisha ya ukubwani. Muhimu ni kurekebisha yale yote uliyo gombezwa na walezi na kuzingatia yale tu uliyo sifiwa.
100%Yale maisha ya utotoni mara nyingi unajitabiria maisha ya ukubwani. Muhimu ni kurekebisha yale yote uliyo gombezwa na walezi na kuzingatia yale tu uliyo sifiwa.
Amen.Mwenye Enzi Mungu bariki watoto wetu tunakuomba kwa dhati!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi zile ni nzuri kuzishika shika eti?!!!Inatutia majaribuni wapenda dash dash......
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]