Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Leicester inaongoza katika kumsajili kiungo wa kati wa Norwich James Maddison, 21, huku klabu hiyo ikitaka kupewa zaidi ya £20m ili kumuuza raia huyo wa Uingereza. (PA)
 
Kwamba nae alicheza mpira wa makaratasi? Asingeweza kuwa golikipa akae chini adakie mpira mapajani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]weeeee?!!!!
Enzi zileee za kuchezea makonika toka kwenye kamera za picha za negativu aaah[emoji124] hata hutanielewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watford itakataa na winga wake mwenye thamani ya £40m- Richarlison iwapo mkufunzi mpya wa Everton Marco Silva atamuhitaji mchezaji huyo raia wa Brazil mwenye umri wa 21. (Evening Standard)
 
[emoji23][emoji23][emoji23]huyu ni mkoromije tu

Ila mambo mengine bhana,kaenda kwa mchepuko kajiachia na kujipiga le selfie,mfyuuu
Kuna siku utalipa kwa haya mashambulizi yako ya aibu kwa Wakoromije wote. [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
 
Nikumbushe hii, ama sikuipitia.[emoji23]
Kamera za zaman za wale wapiga picha maringo mia kidogo,zile picha ambazo ukipiga leo kuzipata baada ya wiki au mwezi zilikua na negativu. Sasa mikanda yake wakienda safisha yanabaki hayana kazi wanayatupa,watoto tulikua tunayachukua na kupambia kwenye michezo,wakiume walikua wanaunda gari au nyumba za hayo makonika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…